Mkurugenzi Mtendaji,wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akiambatana na family yake na wafanyakazi wa benki hiyo wamshukuru mungu, kwa kuwafanikisha katika majukumu yao,na kuwalinda katika kipindi chote cha mwaka 2014 na kuwafikisha 2015.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei
(kulia) akibadilishana mawazo na mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili wakati wa ibada
maalum ya kumshukuru mungu kwa ajili ya mafanikio ya Benki ya CRDB katika
kipindi cha mwaka 2014.
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza wakati wa ibada maalum ya shukruni iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Msasani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwa na mke wake wakiwa katika ibada ya Shukrani kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 2014.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada ya Shukrani.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza.
Ibada ikiendelea.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Kilimanjaro, Francis Mollel (wa pili kushoto) akishiriki Ibada hiyo.
Nawabariki.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakifuatilia ibada ya Shukrani.
Ibada ikiendelea.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Lumumba, Peres Fungo (wa pili kulia) akiwa na maofisa wengine wa benki hiyo wakati wa ibada hiyo.
Ibada ikiendelea Kanisani.
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza wakati wa ibada maalum ya shukruni iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Msasani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwa na mke wake wakiwa katika ibada ya Shukrani kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 2014.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada ya Shukrani.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza.
Ibada ikiendelea.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Kilimanjaro, Francis Mollel (wa pili kushoto) akishiriki Ibada hiyo.
Waumini wakiwa Kanisani.
Pokeeni Baraka.Nawabariki.
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili akiimba nyimbo za injili.
Ibada ikiendelea.Maofisa wa Benki ya CRDB wakifuatilia ibada ya Shukrani.
Ibada ikiendelea.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Lumumba, Peres Fungo (wa pili kulia) akiwa na maofisa wengine wa benki hiyo wakati wa ibada hiyo.
Ibada ikiendelea Kanisani.
Kwaya ya Vijana ikiimba.
Ibada ikiendelea.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei na mke wake wakipokea baraka kutoka kwa mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili wakati wa ibada
maalum ya kumshukuru mungu kwa ajili ya mafanikio ya Benki ya CRDB katika
kipindi cha mwaka 2014.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akisalimia na mtoto wakati wa ibada ya shukrani.
Junior Semunyu akiwa amepozi na Tully Mwambapa.
Junior Semunyu akiwa amepozi na Tully Mwambapa.
No comments:
Post a Comment