HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 01, 2015

Buriani Kapteni John Komba

Lowasa akitita jambo na mtoto wa marehemu John Komba, Andrew Komba. (Picha na Francis Dande)
 Mbunge wa Sengerema William Ngeleja akiwa na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa wakiwa katika msiba wa marehemu Kapteni John Komba. (Picha na Francis Dande)
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja akiwa na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa wakiwa katika msiba wa marehemu Kapteni John Komba. (Picha na Francis Dande)
Rais Jakaya Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole jana na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM marehemu Kapteni John Komba nyumbani kwake Mbezi kwa Komba jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda yeye na Rais Kikwete  kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete
wakimfariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
 Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao,  Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
 Watoto wa marehemu, Andrew Komba (wa pili kulia) na George Komba kulia wakiwa na waombolezaji wengini nyumbani kwao Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja na Mbunge wa Monduli. (Picha na Francis Dande)
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Komba (katikati) ni mke wa marehemu, Salome Komba. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages