Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba aliyefariki jioni ya tarehe 28 februari 2015 jijini Dar es salaam,kushoto ni mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba nyumbani kwake Mbezi Tangi Bovu.
Wasanii wa TOT wakilia kwa uchungu msibani
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisalimiana na wasanii wa TOT wakati akiwasili msibani.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombelezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anna Makinda akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:
Post a Comment