HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 21, 2015

KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA


Ameongeza kuwa CCM ni chama kinachotakiwa kuwasemea na kuwatetea wanyonge na siyo kuwakandamiza na lazima viongozi na watendaji wa serikali na chama wawajibike kwa wananchi ambao ndiyo walioingia mkataba na CCM ambayo iliunda serikali inayotekeleza ilani yako.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya kikazi ya mkoa wa Arusha akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali ya CCM na kuhimiza uhai wa Chama Cha Mapinduzi CCM akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA)2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kuchimba mfereji wa kupitisha mabomba ya maji katika mradi wa maji kata ya Olmot Olkaryan jijini Arusha. 3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kufungua maji ya bomba katika mradi wa maji kata ya Olmot Olkaryan jijini Arusha. 

No comments:

Post a Comment

Pages