Mkurugenzi
mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akimkabidhi pikipiki kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus
Makunga ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Moshi
mjini kwa ajili ya kusaidia na kurahisisha shughuli za maendeleo katika kata ya
KIA wilayani Hai mkoani Kilimanjaro . Hafla hiyo ilifanyika leo Sakina jijini Arusha.
Mkurugenzi
mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akikabidhi kadi ya pikipiki hiyo kwa Mkuu huyo wa Wilaya.
Viongozi
mbalimbali wa kata ya KIA wakishuhudia mkurugenzi mkuu wa Triple A LTD Papaking
Mollel akimkabidhi pikipiki aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Novatus makunga kwa
ajili ya kuchangia na kusaidia shughuli
za maendeleo ya kata ya KIA.
Very descriptive article, I liked that a lot. Will there be a part 2?
ReplyDeleteAlso visit my weblog ... reklama