HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 05, 2015

WADAU WAMTEMBELEA BALOZI MSTAAFU MUSTAFA NYANG'ANYI WASHINGTON DC

Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi ,pamoja na wasaidizi wake walipomtembelea balozi mstaafu Mustafa nyang'anyi nyumbani kwake Washington, kuanzia kushoto ni Awadh Zuberi, Shemuni Halahala,Balozi Nyang'anyi, Zuberi Athumani.

No comments:

Post a Comment

Pages