HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 24, 2015

WENGI WAJITOKEZA KATIKA BANDA LA NSSF LILILOPO KATIKA VIWANJA VYA TCC CHANGOMBE WAKATI WA KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA(NSSF CLINIC). CLINIC HIYO INAAMBATANA NA MICHEZO MBALIMBALI YA MEDIA CUP INAYOSHIRIKISHA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI

 Afisa wa NSSF(Ramadhani Jumbe) akimwandikisha mwanachama mpya katika Banda la NSSF katika wiki ya huduma kwa Wateja NSSF clinic.
 Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na Huduma Kwa wateja Bi. Eunice Chiume akitoa maeleozo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika katika viwanja vya TCC Club Changombe. Kulia ni Afisa Mwandamizi wa Idara ya Uhusano na Huduma Kwa wateja.
Timu ya NSSF inayoshiriki kutoa Huduma na elimu mbalimbali  kwenye NSSF CLINIC wakiwa katika picha ya Pamoja kwenye Banda lao katika viwanja vya TCC club Changombe.
Afisa wa NSSF(Athuman Ally) akiwapa wanachama taarifa za michango yao walipotembelea Banda la NSSF katika viwanja vya TCC club changombe.

No comments:

Post a Comment

Pages