HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 05, 2015

NYOTA WA NYIMBO ZA INJILI REBECCA MALOPE AWASILI

 Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  usiku huu tayari kwa kutumbuiza kesho kwenye tamasha pa Pasaka.Kuklia kwake ni Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd,Bwana.Alex Msama akitabasamu.
Rebbecca Malope akifurahia kutua tena nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages