HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 05, 2015

CHUO CHA DIPLOMASIA CHAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIA

 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Dipomasia wakifanya usafi wa mazingira katika maeneo ya kuzunmguka chuo chao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani. (Picha na Francis Dande)
 Wanafunzi wa Chuo cha Dipomasia wakifanya usafi wa mazingira katika maeneo ya kuzunmguka chuo chao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.
 Wanafunzi wa Chuo cha Dipomasia wakifanya usafi wa mazingira katika maeneo ya kuzunmguka chuo chao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.
 Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani. 
Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakimsikiliza Mkurugenzi wa chuo hicho, Balozi Dk. Mohamed Maundi wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani. 
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la chuo hicho ikiwa ni sehemu ya madhimisho ya siku ya mazingira Duniani. 
 Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi akimwagilia maji mti wa kumbukumbu alioupanda katika eneo la chuo hicho ikiwa ni sehemu ya madhimisho ya siku ya mazingira Duniani. 
 Naibu Mkurugenzi wa Mipango Utawala na Fedha wa Chuo cha Diplomasia, Dk. Bernard Achiula akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambapo walipanda miti na kufanya usafi katika eneo la chuo hicho. 
Rais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, Nice Munissy (kulia) akiwaongoza wenzake kupanda mti ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani.

No comments:

Post a Comment

Pages