Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine akimtambulisha rasmi kocha mkuu wa taifa stars, Charles Boniface (kushoto), wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni kocha msaidizi, Hemed Moroko. (Picha na Francis Dande)
Kocha Mkuu wa taifa stars, Charles Boniface akizungumza na waandishi wa habari leo.
No comments:
Post a Comment