HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 22, 2015

SIMBA YAZINDUA TOVUTI YAKE

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Tovuti ya klabu hiyo www.simbasports.co.tz jijini Dar es Salaam. Wengine ni Makamu wa rais, Geofrey Nyange Kaburu (kushoto waliosimama) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula ambaye ni  washauri watekerezaji wa Biashara na Masoko wa Simba. (Picha na Francis Dande)
Rais wa Klabu ya Simba, Evance Aveva akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya Simba www.simbasports.co.tz pamoja na kutangaza ujio wa kocha mpya atakayeinoa timu hiyo, Dylan Kerr raia wa Malta. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula na Mtaalamu wa IT, Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Robert Lazaro. 
Rais wa Klabu ya Simba, Evance Aveva akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya Simba www.simbasports.co.tz pamoja na kutangaza ujio wa kocha mpya atakayeinoa timu hiyo, Dylan Kerr raia wa Malta. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula na kulia ni Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' 

No comments:

Post a Comment

Pages