Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (kushoto), akitoa
maelezo kuhusu mfuko huo kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (aliyekaa),
wakati alipotembelea banda la PPF katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa
Umma kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana. (Picha na
Francis Dande).
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la PPF.
No comments:
Post a Comment