HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 22, 2015

KONYAGI WAPATA TUZO YA WAZALISHAJI BORA

 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), maarufu kwa jina la Konyagi. David Mgwassa Kombe la ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages