HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 10, 2015

WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM BADO WAKUNA VICHWA KUWAPATA WATAKAOINGIA TANO BORA

 Wajumbe wa Mkutano Mkuu, Emmanuel Nchimbi (shoto) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Kificho wakisoma ujumbe mfupi katika simu.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete (katikati), akifungua mkutano wa Kamati Kuu ya chama hicho mjini Ddoma. (Picha na Joseph Senga)
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Nape Nnauye na Zakhia Magji wakite jambo ndani ya ukumbi wa jengo la White House kabla ya mkutano kuanza mjini Dodoma.
Wajumbe wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kikao.
Viongozi wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa White House mjini Dodoma ambako Kamati Kuu ya CCM iliketi. Kutoka Kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahamed Salim, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza Rais mstaafu, David Msuya, Rais wa Zanzibar mstaafu, Amaan Abeid Karume, Makamu Mwenyekiti wa CCM mstaafu, Pius Msekwa, Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi. (Picha na Joseph Senga)

No comments:

Post a Comment

Pages