HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 18, 2015

YANGA YAANZA VIBAYA MICHUANO YA KAGAME YACHAPWA 2-1 NA GOR MAHIA

Golikipa wa Gor Mahia, Boniface Oluoch akiokoa penalti iliyopigwa na benki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Gor Mahia ya Kenya, Sibomana Abouba akimzuia mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva  katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akilia wakati akisaidiwa kutoka nje baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu wakati timu yake ilipocheza na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Karim Nizigiyimana wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Mussa Mohamed katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mashabiki wa Gor Mahia wakishangilia timu yao.
 Mashabiki wa Yanga wakifuatilia pambano lao na Gor Mahia.
Benki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro' akitoka uwanjani baada ya pambano kumalizika na timu yake kualala kwa bao 2-1.

No comments:

Post a Comment

Pages