HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 12, 2015

YANGA YAIPIGA POLISI KOMBAINI 3-0

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya Kombaini ya Polisi,  Salmin Kiss akijaribu kumzuia katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-0. (Picha na Francis Dande)
 Golikipa wa Polisi Kombaini, Kondo Sulum akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Golikipa wa Polisi Kombaini, Kondo Sulum akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiruka daluga la beki wa timu ya Kombaini ya Polisi,  Salmin Kiss wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda3-0.

Kondo Salum akiodaka mpira mbele ya Donald Ngoma.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijaribu kuwatoka wachezaji wa Kombaini ya Polisi.
Simon Msuva akiwania mpira.
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akichuana na mchezaji wa Polisi Kombaini.
 Simon Msuva akimiliki mpira.

No comments:

Post a Comment

Pages