HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 04, 2015

RAIS KIKWETE ASAINI SHERIA MPYA YA USIMAMIZI WA MAFUTA NA GESI

Rais Jakaya Kikwete akitia sahihi sheria mpya ya usimamizi wa mapato ya mafuta na gesi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya. (Picha na Loveness Bernard).

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Festo Kang’ombe, akiapishwa na Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani), kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages