Mwimbaji wanyimbo za injili, Upendo Nkone akiimba kwa hisia
wakati wa uzinduzi wa albamu yake ya tano iitwayo ‘Omba Yesu Anasikia’
uliokwenda sambamba na kutimiza miaka 10 tangu aanze huduma ya uimbaji.
Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Waimabji wa nyimbo za injili, Masanja
Mkandamizaji na Bonny Mwaitege wakiimba wakati wa uzinduzi wa albumu ya tano ya
mwimbaji, Upendo Nkone uliofanyika jijini Dar es Salaam.




No comments:
Post a Comment