Baadhi ya wafuasi wa Ukawa wakiwa katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Half London eneo la Bomang’ombe
Wilaya ya Hai Moshi
Mgombea
urais wa Edward Lowassa, akimnadi Mgombea ubunge wa Jimbo la Hai Freeman Mbowe
katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Half London eneo la Bomang’ombe
Wilaya ya Hai Moshi
Mfuasi
wa Chadema akitoka kwenye jeneza lilioandikwa mwisho wa CCM kwenye mkutano wa kampeni
wa mgombea urais wa chama hicho , Edward Lowassa, katika Uwanja wa Half London
eneo la Bomang’ombe Wilayaa ya Hai Moshi.
Mgombea
urais wa Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Half London eneo la Bomang’ombe
Wilaya ya Hai Moshi.
Mgombea
urais wa Ukawa, Edward Lowassa, akiwa amembeba mtoto Sayuni Nassari wa Mgombea
ubunge Arumeru Mashariki Joshuaa Nassari wakata wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Half London eneo la Bomang’ombe
Wilaya ya Hai Moshi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, wakiwapungia wananchi wa mji wa Bomang'ombe, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro. (Picha na Othman Michuzi)

No comments:
Post a Comment