Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa katika doria wakati wa kusubiori matokeo ya ubunge katika jimbo la Unumgo Dar es Salaam. (Picha zote na Mussa Ngarango)
Baadhi ya vijana wakidhibitiwa na FFU.
Ploisi wakiwa katika kizuizi cha magari katika eneo la Chuo Kikuu ambako matokeo ya Ubunge jimbo la Ubungo yakisubiri kutangazwa.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa Chuo Kikuu ambako matokeo ya Ubunge jimbo la ubungo yakisubiri kutangazwa.
Askari wakituliza fujo.
Vijana wakisubiri matokeo.
No comments:
Post a Comment