Mgombea Mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Dodoma juu ya tathmini ya mikutano ya kampeni na matatizo ya wananchi aliyokutana nayo katika mikoa tofauti aliyotembelea. Kulia ni Katibu wa Jumuiya ya Wanawake CUF, Fatma Kalembo
Mgombea Mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Dodoma juu ya tathmini ya mikutano ya kampeni na matatizo ya wananchi aliyokutana nayo katika mikoa tofauti aliyotembelea. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Chadema, Said Issa Mohamed.







No comments:
Post a Comment