Mbunge mteule wa jimbo la Kawe, Halima Mdee akizungumza na waandish wa habari kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya ubunge katika jimbo hilo. (Picha na Francis Dande)
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Kawe, Kipi Warioba akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza kushindwa katika mbio za kuwania jimbo hilo licha ya kutokubaliana na matokeo hayo.
Wafuasi wa Chadema wakishangilia ushindi wa Halima Mdee.
Mfuasi wa Chadema akiwa ameshika picha ya Halima Mdee.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty akimtangaza mshindi wa jimbo la Kawe, Halima Mdee kuwa mbunge wa jimbo hilo,
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamembeba mbunge wa Kawe, Halima Mdee baada ya kushinda jimbo la Kawe kwa kupata kura 96432.
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamembeba mbunge wa Kawe, Halima Mdee baada ya kushinda jimbo la Kawe.
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamembeba mbunge wa Kawe, Halima Mdee baada ya kushinda jimbo la Kawe.
No comments:
Post a Comment