HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

October 06, 2015

MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA, JUMA DUNI HAJI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI ZA URAIS MKOANI MOROGORO

 Mgombea mwenza Chadema, Juma Duni Haji akiwahutubia wakazi wa Gairo katika viwanja vya Shule ya Msingi Gairo wakati wa mkutano wa Kampeni.
 Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji wakati alipopita kusalimia katika mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge Jimbo la Kilosa Cuf, Abeid Mlapakolo kwenye viwanja vya Magore, wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni Gairo.

 Mgombea udiwani kata ya Hembeti Chadema, Peter Mdidi akielezea matatizo ya wakazi wa kata yake  wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro jana wakati msafara wa mgombea mwenza, Juma Duni ukielekea Gairo kwenye  mkutano wa Kampeni.
 Mgombea mwenza wa urais, Juma Duni  akimnadi mgombea wa ubunge Jimbo la Gairo Chadema, Salim Mpanda wakati wa mkutano wa kampeni viwanja v ya shule ya msingi Gairo.
 Makamu mwenyekiti Chadema Zanzibar, Said Issa Mohammed akihutubia wakazi wa Hembeti wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro jana wakati msafara wa mgombea mwenza, Juma Duni ukielekea Gairo kwenye  mkutano wa Kampeni.
Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji wakati alipopita kusalimia katika mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge Jimbo la Kilosa Cuf, Abeid Mlapakolo kwenye viwanja vya Magore, wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni Gairo.

No comments:

Post a Comment

Pages