Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akiwa na Magavana wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la
kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuzauchumi katika
mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka Hazina.
Kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius
Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano
yanayoendelea katika mikutano hiyo ya benki ya Dunia.
Ujumbe kutoka Tanzania ukimsikiliza Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali
Dr. Servacius Likwelile katika ofisi ya Tanzania nchini Peru- Lima
–
Wapili kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali
Dr. Sirvacius Likwelile akisikilizwa kwa makini na Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Bw. Wilson Masilingi wa pili kutoka kushoto na Bw. Said Magonya wa
kwanza kulia ambaye ni Kamishna wa Fedha za Nje Wizara ya Fedha na Bw. Bedason Shallanda wa kwanza kushoto
ambaye ni Kamishna wa Sera Wizara ya Fedha.
Dr.
Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na
ujumbe kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa
kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose anayezungumza katika mikutano
ya mwaka ya Benki ya dunia. (Picha
zote na Ingiahedi Mduma na Eva Valerian, Peru – Lima).
No comments:
Post a Comment