Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Anna Makinda akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamko la
kutogombea Uspika Msimu huu hawapo pichani katika mkutano wake uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini
maelezo anayotoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna
Makinda hayupo pichani alipotoa tamko la kutogombea tena Uspika wa Bunge msimu
huu.
Spika wa bunge la Jamhuri wa Muungano wa
Tanzania Mh. Anna Makinda katikati akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa
habari mara baada ya kumaliza mkutano wake katika ofisi za bunge leo jijini Dar
es salaam. Picha na Ally Daud -Maelezo
No comments:
Post a Comment