Mkuu
wa Kitengo cha Elimu kwa Umma, Makao Makuu ya Trafiki, Dar es Salaam,
ASP Abel Swai akitoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria, muda mfupi
kabla ya kuanza safari za mikoani katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,
jijini Dar es Salaam, elimu ambayo inalenga kudhibiti ajali za
barabarani kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka,
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, PC Asha Adam, akiwasisitiza abiria kufunga mikanda iliyopo kwenye viti walivyoketi muda wote wa safari.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Inspekta Ibrahim Omary Samwi (kushoto), na PC Elisante Bura (kulia), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Inspekta Ibrahim Omary Swami (aliyeko chini ya uvungu wa gari), akikagua moja ya magari yanayojiandaa kuelekea mikoani.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Sajenti Jackson Mafuru (kulia), na PC Elisante Bura wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Abdallah Bwasi wakiendelea na ukaguzi wa mabasi yanayofanya safari zake nje ya mkoa wa Dar es Salaam. (Picha zote na Abubakari Akida, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

No comments:
Post a Comment