HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 11, 2015

Madiwani wateule wa Chadema jiji la Mbeya

MADIWANI  wateule wa halmashauri ya jiji la Mbeya walioshinda kwenye kata 26 kupitia Chadema wakiwa kwenye semina  elekezi jana kabla kuzinduliwa kwa baraza jipya ili kujipanga kushinda kata ya uyole ambayo uchaguzi haukufanyika kufuatia kilo cha mgombea wa CCM. (Picha Na Christopher  Nyenyembe, Mbeya)

No comments:

Post a Comment

Pages