HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 02, 2015

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI - LINDI


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone:255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
      STATE HOUSE,
              1 BARACK OBAMA ROAD,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Ramadhan Kaswa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kuanzia Oktoba  30, mwakahuu, 2015.

          Kablayauteuzi wake, Ndugu Kaswa alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa Msaidizi, Mkoa waTanga.
Imetolewana:

KurugenziyaMawasilianoyaRais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

2 Novemba, 2015

No comments:

Post a Comment

Pages