HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 05, 2015

SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiwaaga wananchi waliofika katika sherehe za kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano Dk. John Pombe Magufuli zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)


 Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride rasmi kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Dk. John Magufuli.
 Bendera ya Rais ikishushwa.
 Viongozi wa dini.
 Rais Dk. John Magufuli akila kiapo mbele ya jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande.

 Rais Dk. Magufuli akila kiapo
 Rais Dk. John Magufuli akila kiapo.
 Rais Dk. John Magufulia akisaini kiapo.
 Jaji Mkuu wa Tanzania, Othma Chande akisaini kiapo.
 Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande akimkabidhi Rais Dk. John Magufuli katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 Rais Dk. John Magufuli akipeana mkono na Jaji Mkuu wa Tanzania, Chande Othman.
 Rais Dk. John Magufuli akiwa ameshika silaha za jadi ngano na mkuki.
 Rais Dk. John Magufuli akikumbatiana na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
 Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akila kiapo.  
 Mufti wa Tanzania akiomba dua.
 Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiomba dua.
 Rais Dk. Magufuli akisalimiana na askofu wa KKKT, Dk. Alex Malasusa.
 Rais Dk. John Magufuli akipigiwa mizinga 21.
 Rais Dk. John Maguli akikagua gwaride la heshima.
 Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiteta jambo na  Rais Dk. John Magufuli.
 Wageni mbalimbali.
 Wageni waalikwa.
 Wageni mbalimbali.





 Ndege za Jeshi la Wananchi zitoa heshima kwa Rais Dk. John Magufuli.
 Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Dk. John magufuli.
 Rais Yoweli Museveni wa Uganda akisalimia.
 Rais Paul Kagame akisalimia.
 Rais Joseph Kabila wa DRC.
 Rais Jocob Zuma wa Afrika Kusini.
















Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange.















































































































































No comments:

Post a Comment

Pages