Wahandisi kutoka Halmashauri za Mkoa wa Pwani wakiwa katika
ziara ya mafunzo kwenye Jengo la Tatu la Abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). (Na Mpigapicha Wetu)
Meneja wa wa Mradi wa Jengo la Tatu la Abiria la Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mhandisi Mohamed Milanga (wa pili kulia)
akiwaongoza wahandisi kutoka Halmashauri za Mkoa wa Pwani waliokuwa katika
ziara ya mafunzo.
No comments:
Post a Comment