HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 20, 2015

WIZARA YA ARDHI YAENDELEA NA UBOMOAJI WA NYUMBA ZILIZOJENGWA KATIKA MAENEO WAZI NA WAVAMIZI WA VIWANJA

 Nyumba ya mkazi wa Mbezi Beach Deus Kisisiwe iliyopo Block J Mtaa wa Libermann kabla ya kuvunjwa. (Picha na Francis Dande)
 Nyumba ya mkazi wa Mbezi Beach Deus Kisisiwe iliyopo Block J Mtaa wa Libermann kabla ya kuvunjwa.
 Vitu vikiamishwa kutoka ndani ya nyumba.
 Vifaa mbalimbali vikitolewa.
 Moja ya magari yaliyokuwa katika nyumba hiyo likitolewa.
 Mke wa mmiliki wa nyumba hiyo, Catherine Kisisiwe akiwa katika eneo la nyumba wakati wa kuvunjwa kwa nyumba yao.
  Mke wa mmiliki wa nyumba hiyo, Catherine Kisisiwe akiwa katika eneo la nyumba wakati wa kuvunjwa kwa nyumba yao.
 Ulinzi ulikuwa mkali.
  Mke wa mmiliki wa nyumba hiyo, Catherine Kisisiwe akiwasiliana na ndugu na jamaa.
Kijiko kikiendelea na ubomoaji.
 Kijiko cha Manispaa ya Kinondoni kikibomoa nyumba ya Deus Kisisiwe iliyopo Block J Mtaa wa Libermann Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, leo. 
 Ofisa wa Polisi akichukua picha wakati kijiko cha Manispaa kikiendelea na ubomoaji.

No comments:

Post a Comment

Pages