Mshambulaiji wa Prisons ya Mbeya, Mohamed Mkopi (kushoto) akichuana na beki wa JKT Ruvu, Cecil Ephreim wakati wa
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume
jijini Dar es Salaam. JKT Ruvu ilishinda 4-1. (Picha na Francis Dande)
Mshambulaiji wa Prisons ya Mbeya, Mohamed Mkopi akimtoka
beki wa JKT Ruvu, George Minja.
Mshambuliaji wa JKT Ruvu Samwel Kamuntu akishangilia bao la nne
aliloifungia timu yake dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya, huku golikipa wa Prisons,
Aron Kalambo akishangaa, katika mchezo
wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume jijini
Dar es Salaam. JKT Ruvu ilishinda 4-1.
Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Abdalah Kibadeni (kulia) akijadiliana jambo na kocha msaidizi wa timu hiyo, Mlage Kabange (katikati) wakati timu yake ilipopambana na Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Karume.
Emmanuel Pius wa JKT Ruvu akimtoka James Mwasote.
Wachezaji wa JKT Ruvu wakishangilia bao la nne la timu yao.
No comments:
Post a Comment