Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore jijini Dar es Salaam leo.
Kutoka kushoto Meneja wa Fedha wa NHC, Albinus Manumbu, Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TAMICO, NHC, Lilian Reuben, Meneja wa Huduma kwa Jamii, Muungano Saguya na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC yaliyopo barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment