HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 09, 2015

NSSF YAADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU KWA KUFANYA USAFI KATIKA SHULE YA MSINGI TANDALE


 Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadi ya Jamii (NSSF) wakishiriki kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tangale Magharibi kwa kuondoa Maji Taka ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mika 54 ya Uhuru wa Tanganyika.
 Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akiwaongoza wafanyakazi wa NSSF kushiriki katika zoezi la kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi.
 Wafanyakazi wa NSSF wkiadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika wakifanya usafi wa mazingira katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi, Jijini Dar es Salaam leo.
Maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Shule ya Msingi Tandale Magharibi leo.

No comments:

Post a Comment

Pages