Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Mandawa wilayani Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimtambulishasha diwani wa Kata ya Mandawa kwa tiketi ya CUF, Said Abdallah `Nachinga na kuahidi kuwa atashirikiana nae kwa karibu katika kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wa kata hiyo bila kujali tofauti za vyama. Alikuwa ktika mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Mandawa.
No comments:
Post a Comment