HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 01, 2015

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA PROFESA LIPUMBA IKULU

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana  na  aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba. Profesa Lipumba amempongeza Rais kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindo na pia ameipongeza hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge la 11 mjini Dodoma 30, 2015. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Pages