Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu wakati alipokuwa anawasili Makao Makuu
ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi. Waziri Kitwanga
alifanya mazungumzo na Viongozi Wakuu wa jeshi hilo na kukubaliana kuweka
mikakati zaidi ya kukabiliana na uhalifu nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akizungumza
na Viongozi Wakuu wa Jeshi la Polisi wakati alipofanya ziara Makao Makuu ya
jeshi hilo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment