HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 27, 2016

POLISI WATUMIA MBWA KUTULIZA VURUGU BUNGENI

 Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi ndani ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya wabunge wa upinzani kupinga hatua ya Serikali ya kupunguza matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni.
 Hali ilivyokuwa ndani ya ukumbi wa Bunge.
 Wabunge wakiwa wamesimama kupinga hatua ya Serikali kupunguza matangazo ya moja kwa moja ya kutoka Bungeni. 
Wabunge wapinga kupinguza muda wa kuonesha matangazo ya moja kwa moja kwa madai ya kubana matumizi na kusababisha vikao vya bunge kusitishwa mara mbili hali hiyo ilisababisha vikao vya bunge kuahirishwa ili kupisha kamati ya Uongozi ijadili suala hilo. 
 Mwenyeki wa Bunge, Andrew Chenge akiwatuliza wabunge.
 Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana wakipinga hoja ya serikali kuzuia kuonyeshwa kwa vikao vya Bunge moja kwa moja kupitia runinga.
 Askari wa usalama wa Bunge na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wamewazingira wabunge wa upinzani ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo. (Picha za Mtandao).

No comments:

Post a Comment

Pages