Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto
wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika kusikiliza
matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya
tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalin hapo. (Picha na Ferdinand
Shayo).
Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akisikiliza kero za wagonjwa
wanaoitibiwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika
hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalin hapo.
Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa katika Hospitali ya Tengeru katika ziara yake
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama.
No comments:
Post a Comment