Afisa
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu UTT-PID,
Dk. Gration Kamugisha (kulia),
akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard
Mkumbo, wakati mkurugenzi huyo na tmu yake walipotembelea taasisi hiyo jijini
Dar es Salaam jana, kwa lengo la kujua maendeleo ya taasisi na changamoto
wanazokabiliana nazo ili kutafuta ufumbuzi wa kuzishughulikia changamoto hizo.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu UTT-PID,
Dkt. Gration Kamugisha
(aliyesimama kushoto), akielezea mafanikio ya taasisi hiyo na changamoto inayokabiliana nazo wakati timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ilipotembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana. Timu hiyo iko kwenye ziara ya kukutana na watendaji wa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo hususan Ofisi ya Msajili wa Hazina.

Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
No comments:
Post a Comment