HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 27, 2019

MISA TANZANIA, ICNL WAJADILI NA WADAU CHANGAMOTO ZA KISHERIA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mkurugenzi wa MISA Tanzania Gasirigwa Sengiyumva akichangia mada katika warsha ya utetezi wa sheria za vyombo vya habari. Geline Fuko (kushoto) akiwasilisha mada wakati wa siku ya pili ya warsha hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Network of Legal Aid Provider Christina Kamili (kulia) akiwasilisha mada wakati wa siku ya pili ya warsha hiyo. Bw.Aloys Habimana kutoka shirika la kimataifa la utetezi wa haki za kijamii la ICNL akiendesha warsha ya utetezi wa sheria za vyombo vya habari iliyoandaliwa na kuendeshwa na MISA kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la utetezi wa haki za kijamii la ICNL. Bi.Lily Liu kutoka shirika la kimataifa la utetezi wa haki za kijamii la ICNL akijadili jambo pamoja na wadau walioshiriki warsha hiyo. Washiriki warsha hiyo wakijadili baadhi ya sheria na kanuni katika makundi. Mkurugenzi wa Highlands Fm Radio ya Mbeya Bi. Jacqueline Lawrence akiwasilisha mada kwa niaba ya washiriki wenzake Washiriki wa warsha ya utetezi wa sheria za vyombo vya habari iliyoandaliwa na kuendeshwa na MISA kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la utetezi wa haki za kijamii la ICNL wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungwa kwa warsha hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages