Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na watendaji wa Ofisi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliopo Mtaa wa Magogoni Mjini Dar es Salaam ambapo Ofisi hiyo kwa sasa iko chini ya uratibu wa Ofisi yake.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimjuilia hali Mbunge Mstaafu wa lililokuwa Jimbo la Rahaleo Wilaya ya Mjini Kanal Mstaa Saleh Ali Fara aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo Jijini Dar es saam akipatiwa huduma za matibabu akizumbuliwa na maradhi ya Mgongo.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEio5fn0JePXlxt8tf1LUN273cAKbFLWf0mT4GLhcFCu6xh7bxShswHLQkFtk5eq7anaP0nvQcSiUyaKWB064z2xPQ56WC5RO3JJ1FFGMcC09L29izHgiGXToWl8dr7wXmIxT8xv9g7S8U0/s640/816.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEio5fn0JePXlxt8tf1LUN273cAKbFLWf0mT4GLhcFCu6xh7bxShswHLQkFtk5eq7anaP0nvQcSiUyaKWB064z2xPQ56WC5RO3JJ1FFGMcC09L29izHgiGXToWl8dr7wXmIxT8xv9g7S8U0/s640/816.jpg)
Balozi Seif akibadilishana mawazo na Madaktari wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo Hospitali Mjini Dar es salaa baada ya kumjulia hali Mbunge mstaafu wa Mlandege Kanal Mstaafu Saleh Ali Fara. Picha na- OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment