HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 09, 2016

LIGI YA MABINGWA AFRIKA: YANGA YATOKA SARE NA AL ALHY 1-1

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Al Alhy ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Al Alhy ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
 Mashabiki wa Misri wakishangilia timu yao.
 Deus Kaseke akiwatoka walinzi wa Al Ahly.
Beki wa Yanga, Juma Abdul  akiwatoka mabeki ya Al Ahly wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.
 Donald Ngoma akiruka juu kuwania mpira.

No comments:

Post a Comment

Pages