JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
Telegrams
"UJENZI" D' Salaam. 7
Barabara ya Samora Machel S.L.P. 9423 11475 DAR ES SALAAM
TANZANIA.
Simu -
2123964.
S.L.P. 9423
Fax: 25522 2118904
TANGAZO
VIWANGO
VYA TOZO KWA WATUMIAJI WA DARAJA LA NYERERE
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa
kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) pamoja na Wadau wa
Sekta ya Usafiri imeidhinisha viwango vya Tozo kwa watumiaji wa Daraja la
Kigamboni vitakavyoanza kutumika rasmi kuanzia Jumamosi tarehe 14 Mei, 2016.
S/NA
|
AINA
|
KIWANGO
CHA TOZO
|
1
|
WATEMBEA KWA MIGUU
|
HAWATALIPIA
|
2
|
WAENDESHA BAISKELI
|
300/=
|
3
|
PIKIPIKI
|
600/=
|
4
|
MIKOKOTENI
|
1,500/=
|
5
|
GUTA
|
1,500/=
|
6
|
BAJAJI
|
1,500/=
|
7
|
MAGARI AINA YA SALOON
|
1,500/=
|
8
|
PICK-UP HADI TANI 2
|
2,000/=
|
9
|
STATION WAGON
|
2,000/=
|
10
|
GARI LA ABIRIA WASIOZIDI 15
|
3,000/=
|
11
|
GARI LINALOBEBA ABIRIA ZAIDI YA 15 – 29
|
5,000/=
|
12
|
GARI LINALOBEA ABIRIA ZAIDI YA 29
|
7,000/=
|
13
|
TREKTA LISILO NA TELA
|
7,000/=
|
14
|
TREKTA LENYE TELA
|
10,000/=
|
15
|
MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 2 – 7
|
7,000/=
|
16
|
MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 7 – 15
|
10,000/=
|
17
|
MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 15 – 20
|
15,000/=
|
18
|
MAGARI YENYE UZITO ZAIDI YA TANI 20 – 30
|
20,000/=
|
19
|
LORI AINA YA (SEMI – TRAILER)
|
25,000/=
|
20
|
LORI LENYE TRELA
|
30,000/=
|
21
|
MITAMBO
|
40,000/=
|
22
|
MAGARI YENYE VIPIMO VISIVYO VYA KAWAIDA (ABNORMAL
LOAD)
|
75,000/=
|
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inawaomba
watumiaji wa Daraja la Nyerere na Umma kwa ujumla kuzingatia tozo hizi kwa
kadri ilivyoelekezwa; Aidha, watumiaji
wa Daraja la Nyerere wanaaswa kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama barabarani
kwa kutunza na kulinda miundombinu na mazingira ya daraja wakati wote.
Imetolewa na:
Eng. Joseph Nyamhanga
Katibu
Mkuu (Ujenzi),
11
Mei, 2016
No comments:
Post a Comment