HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 14, 2016

CUBA YAMPA NISHANI SALIM AHMED SALIM KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA

Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), akimvisha nishani Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim kutokana na kutambua mchango wake katika kudumisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Cuba, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
 Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia) akimpongeza Salim Ahmed Salim baada ya kumvisha nishani.
Hongera.
 Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim akipongezwa na Adam Malima.
 Baadhi yamabalozi waliohudhuria hafla hiyo.
 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.
 Baadhi ya mabalozi.
Mabalozi pamoja na maofisa wa ubalozi wakiwa katika hafla hiyo.
 Wageni mbalimbali.
 Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akizundua maonyesho ya picha  za mwanamapinduzi wa Cuba, hayati Emesto 'Che' Guevara.
 Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kushoto) akimuonyesha Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi picha mbalimbali zinazoonyesha harakati za mwanamapinduzi, wa Cuba, hayati Emesto 'Che' Guevara.
 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akiagana na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.

 Lowassa akiagana na balozi wa Cuba.
Kaimu Balozi wa Burundi, Prefere Ndayishimiye akiagana na Salim Ahmed Salim.

No comments:

Post a Comment

Pages