HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 28, 2016

MGODI WA GGM WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA-MUHIMBILI

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel  Aligaesha (katikati) akipokea msaada wa vifaa tiba kutoka kwa Daktari Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), Dk. Kiva Mvungi kwa ajili ya wodi ya watoto katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo jana. Kutoka kushoto ni, Makamu wa Rais wa chama cha madaktari wa watoto, Dk. Namali Mkopi, Mkuu wa Idara ya Watoto, Dk. Mary Charles na wa pili kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GGM, Tenga Tenga.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel  Aligaesha (katikati) akipokea msaada wa vifaa tiba kutoka kwa Daktari Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), Dk. Kiva Mvingi kwa ajili ya wodi ya watoto katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo jana. Kutoka kushoto ni, Makamu wa Rais wa chama cha madaktari wa watoto, Dk. Namali Mkopi, Mkuu wa Idara ya Watoto, Dk. Mary Charles na wa pili kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GGM, Tenga Tenga.
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel  Aligaesha(kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa tiba vilivyotolewa na Mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM), Mkuu wa Idara ya Watoto, Dk. Mary Charle.
 Mkuu wa Idara ya Watoto, Dk. Mary Charles akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shs. milioni 23 kutoka GGM.
 Daktari Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), Dk. Kiva Mvungi akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo.

No comments:

Post a Comment

Pages