HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 06, 2016

RAIS MALINZI AWATAKIA MFUNGO MWEMA WAISLAMU

RaiswaShirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi Jumanne Juni 7, 2016 saa 5.00 asubuhi atakutana na uongoziwa Young Africans pamoja na sekretarieti ya TFF kuzungumzia mustakabali wa uchaguzi wa Klabu ya Yanga. 

Kikao baina ya wadau hao kinatarajiwa kufanyika ofisi za TFF.


IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

No comments:

Post a Comment

Pages