Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho. Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB na Serena Hoteli wakipata maelezo kutoka kwa mwalimu wa ushonaji wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju (kulia) walipotembelea kituo hapo. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiangalia shughuli zinazofanywa na watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiliangalia shati lililoshonwa na mmoja wa watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju anayesomea mafunzo ya ufundi wa ushonaji yanayotolewa kwa baadhi ya watoto kituo hapo. Baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju waliopata mafunzo ya uokoaji wakionesha namna wanavyoweza kushiriki katika uokoaji katika majanga anuai hasa ya moto kwa waathirika. Pichani wakimshusha mmoja wa majeruhi kutoka juu ya jengo baada ya kuumia. Baadhi ya watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju waliopata mafunzo ya uokoaji wakionesha namna wanavyoweza kushiriki katika uokoaji katika majanga anuai hasa ya moto kwa waathirika. Pichani wakimshusha mmoja wa majeruhi kutoka juu ya jengo baada ya kuumia. Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho.
June 17, 2016
Home
Unlabelled
Wafanyakazi NMB wasaidia yatima wa Dogodogo Centre Bunju
Wafanyakazi NMB wasaidia yatima wa Dogodogo Centre Bunju
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment