HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 23, 2016

KAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA DAR

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (katikati), akielekea ukumbini tayari kuanza Kikao cha Kamati Kuu (CC), ya Chadema ilipokutana jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano ya Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichokutana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uenezi, Hemed Ally na Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene.
Wajumbe wa Kamati Kuu wakiwa katika Kikao. Wa kwanza kulia ni Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.
Wajumbe wa Kikao.
Kikao kikiendelea.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (katikati), akiongoza kikao cha Kamati Kuu (CC), kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Pages