HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 08, 2016

MKURUGENZI WA BENKI YA CRDB ATEMBELEA BANDA LA LAPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2016

Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Habiba Kisaka akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei alipotembela banda hilo.
Dk. Kimei akisaini kitabu cha wageni katika banda la LAPF.
Ofisa wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Lucia Chuwa akimkaribisha Dk. Kimei. 
Dk. Charles Kimei akifurahia huduma za Mfuko wa Pensheni wa LAPF.
Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Habiba Kisaka akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB juu ya huduma wanazotoa.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB pamoja na maofisa wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages